1 Kings 6:12-13

12 a“Kwa habari ya Hekalu hili unalojenga, kama ukifuata amri zangu, ukatunza masharti yangu na kushika maagizo yangu yote na kuyatii, kwa kupitia wewe nitatimiza ahadi niliyomwahidi Daudi baba yako. 13 bNami nitakaa miongoni mwa Waisraeli, nami sitawaacha watu wangu Israeli.”

Copyright information for SwhNEN